Allegretto Nuzi au Allegretto di Nuzio (1315–1373) alikuwa mchoraji wa Italia, aliyefanya kazi hasa Fabriano na kandokando yake, lakini pia Firenze[1].
Michoro yake ni hasa ya kidini kwa ajili ya makanisa.[2]
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search